iqna

IQNA

Fatima Zahra
Makala
IQNA-Mnamo tarehe 20 Mfunguo Tisa, Jumada-Thani, mwaka wa tano kutokea Kubaathiwa Bwana Mtume, uliosadifiana na mwaka 615 Miladia, nyumba ya Nabii Muhammad (SAW) Mjumbe wa Mwenyezi Mungu na mkewe Bibi Khadija katika mji wa Makka, iliangazwa na nuru ya kuzaliwa mwana mtukufu. Mwenyezi Mungu aliwabariki watukufu hao wawili binti ambaye, alikuja kuendeleza kizazi kitoharifu cha Bwana Mtume SAW.
Habari ID: 3478135    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/02

TEHRAN (IQNA)- Leo ni Jumatano tarehe Tatu Jamadithani 1441 Hijria sawa na 29 Januari 2020. Siku kama ya leo, miaka 1430 iliyopita, sawa na tarehe tatu Jamadithani mwaka wa 11 Hijiria alikufa shahidi Bibi Fatimatu Zahra SA, binti wa Mtume Muhammad SAW na mke wa Imam Ali Bin Abi Twalib AS.
Habari ID: 3472415    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/29